DASH COMMUNICATION

DASH COMMUNICATION

ZANELLE BONGO LADIES WEAR

ZANELLE BONGO LADIES WEAR

ANDY BEACH

ANDY BEACH

AK

AK

NASAROG

NASAROG

NAKEMEA MAUAJI YA ALBINO

NAKEMEA MAUAJI YA ALBINO

Baby shop

Baby shop

COCO BEACH

COCO BEACH

RJ

RJ
Home » » BIG UP KIGOMA ALL STARS!!!!!

BIG UP KIGOMA ALL STARS!!!!!

This is what we expecting to our musician this is what we want..... Big up guys! everything is fine in this song vocal, sound, beats, video is so cool.
Diamond na Wema ndio mmenogesha zaidi kabisaaaaaaaa sasa naamini mapenzi ya kweli yapo
True love never die!!!!!
Kilichonivutia zaidi ni Queen Dorin alivyokuwa anaangusha mauno ya kufa mtu
Na ommie Dimpoz akanimaliza kabisaa aliponipa ngeli ya kilugha akaniacha hoi na kusisimkwa mwili aliposema Kanumba japo sielewi hiyo lugha lakini imenivutia sana.
this is soo good man!!!


4 comments:

Anonymous said...

umeona eh! hii ni balaa dada yangu

Anonymous said...

Dude la kufa mtu

Anonymous said...

ebwana eheeee hii show ingekuwa kugombea uraisi basi huyo mtu angeshinda moja kwa moja kitu kimeita hiki

Anonymous said...

linex kaimba humu ndani kwa usema wa ukweli, akifuatiwa na Diamond then mzee mzima Banana kafunika balaa kaimba ki profession kabisa then Abdul Kiba kanogesha ile mbaya na sauti yake tamu kama ya kaka yake Ali Kiba na sijui kwanini wamemtenga hiki kichwa kabambe Tanzania. huyu mtoto Queen Darin katia nakshi nakshi za huakika hapo Ommie Dimpoz naye balaa yaani kaimba haswa then yule tall sijui anaitwaje nisaidie dada yangu jeedygirl ila jamaa na uhaaaa zake balaa imependeza sana kwa kweli nimemsahau na huyo mwingine alikuwa kwenye bongo star search naye kaenda na beat si kimtoto. Hao ndio nilio waona wamen'garisha humu na kadada Wema Sepetu kamevutia mno kameleta msisimko humu maana kila mmoja hajaamini kuwaona Diamond na Wema yaani imefurahisha ubunifu wa hali ya juu hongereni sana.

Post a Comment

 
Supported by : Jeedy Girl
Copyright © 2012. life goes on - All Rights Reserved
Modified by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Jeedy Girl