DASH COMMUNICATION

DASH COMMUNICATION

ZANELLE BONGO LADIES WEAR

ZANELLE BONGO LADIES WEAR

ANDY BEACH

ANDY BEACH

AK

AK

NASAROG

NASAROG

NAKEMEA MAUAJI YA ALBINO

NAKEMEA MAUAJI YA ALBINO

Baby shop

Baby shop

COCO BEACH

COCO BEACH

RJ

RJ
Home » » OBAY GROUP ROCKS 'N CHAGGA DAY!

OBAY GROUP ROCKS 'N CHAGGA DAY!

Napenda kutoa pongezi kwa POUL MGANGA na kamati nzima kwa kufanikisha shughuli yote. Kwakweli ni ubunifu wa hali ya juu kila kitu kilikuwa unique wengi walikumbukia nyumbani Moshi. Ningependa hii programu iendelee tena natena na sikunyingine ifanyike pale Moshi kabisaa, na si tu kwa wachaga pia na makabila mengine nasi tujitahidi kudumisha mila zetu kwa kukumbuka vyakula vyetu vya asili ngoma zetu pombe zetu na mengine mengi. Kwakweli inapendeza sana. Peter Nalitolela, Rozalia Seimu, Dadaa, Fortu & Limbe Masaba Rocks @ Chagga DayMe, Clarita & Cute Baby Nasser

 Samson Chekingo In The House, Ester Mkandawile, Fortunata Ulomi & Me.

3 comments:

elijah maliondo said...

doh nimei-miss mbege

khamis said said...

nice

Judy Mwaheleja said...

umekosaje @elia pia umekosa na kisusio

Post a Comment

 
Supported by : Jeedy Girl
Copyright © 2012. life goes on - All Rights Reserved
Modified by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Jeedy Girl