Na: Dk. Reubeni Lumbagala Nakumbuka mwalimu wangu wa somo la Uraia (Civics) alipokuwa akitufundisha mada (topic) ya "Haki za "Bina...
Read More
Home
/
Habari
Showing posts with label Habari. Show all posts
Showing posts with label Habari. Show all posts
WATATU MBARONI KWA TUHUMA ZA MAUAJI MOROGORO
Na Farida Mangube, Morogoro Jeshi la Polisi mkoani Morogoro limewakamata watuhumiwa watatu kwa tuhuma za kuhusika na matukio ya mauaji yaliy...
Read More
TCCA YAMPONGEZA DKT. NASRA KUSAIDIA SEKTA YA ANGA
Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania TCAA kupititiakwa mkurugenzi wake Ramadhani Msangi imempongeza Mkurugenzi wa kituo cha afya cha Aerospac...
Read More
WAZIRI MASAUNI AHIMIZA VIJANA KULINDA MISINGI YA MUUNGANO
Na; Mwandishi Wetu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni amewataka wanafunzi wa...
Read More
WAZIRI MKUU AKAGUA MADHARA YA MOTO SOKO LA SIMU 2000, AAGIZA HATUA ZA HARAKA KUREJESHA BIASHARA
-Asema Serikali itatoa kauli baada ya uchunguzi -Aagiza vibanda vipya vigawiwe kwa wafanyabiashara halisi WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba,...
Read More
WATUMISHI WIZARA YA ARDHI WAJENGEWA UELEWA KUHUSU LISHE NA AFYA MAHALA PA KAZI
Na Munir Shemweta, WANMM Watumishi wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Makao Makuu wamepatiwa mafunzo maalum ya lishe pamoja...
Read More
KAMATI YA BUNGE YAPITISHA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA 2026/2027.
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo ikiongozwa na Mwenyekiti, Mhe. Deodatus Mwanyika (Mb), imeridhia Randama ya...
Read More
RAIS DKT.SAMIA ASHIRIKI KIKAO CHA BARAZA LA UONGOZI LA UMOJA WA AFRIKA KWA NJIA YA MTANDAO IKULU ZANZIBAR
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, ambaye pia ni Makamu wa Pili wa Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika ...
Read More
SAYANSI NA TEKNOLOJIA KUPEWA KIPAUMBELE USHIRIKIANO WA UDSM NA CHUO KIKUU CHA VIENNA
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesisitiza kuimarishwa kwa ushirikiano kati ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) na Chuo Kikuu cha Vienna...
Read More
Subscribe to:
Comments
(
Atom
)