
Kila ifikapo tarehe 23 ya kila mwezi wa pili basi mtoto Judith Albert Mwaheleja maarufu kama Jeedygirl anazaliwa.
Mwaka huu 2015 ilikuwa tofauti kidogo kwani si kama miaka mingine inavyozoeleka Jeedygirl huwa na mashamu shamu mialiko na mbwembwe kibao ...
Kumbe bwana usipopanga vinanoga basi akajikuta siku inakuwa special in another way

Akapokea surprise ya cake.... hakutegemea kabisa na ikaja na nyingine



Mauwa nayo nikaletewa


Cake ikaliwa ofisini na wafanyakazi wenzake lakini haikuishia hapo jioni akajumuika na familia yake Spur Sea Cliff na akajijikuta ana HAPPY DAY!!!!!




0 comentários :
Post a Comment