DASH COMMUNICATION

DASH COMMUNICATION

ZANELLE BONGO LADIES WEAR

ZANELLE BONGO LADIES WEAR

ANDY BEACH

ANDY BEACH

AK

AK

NASAROG

NASAROG

NAKEMEA MAUAJI YA ALBINO

NAKEMEA MAUAJI YA ALBINO

Baby shop

Baby shop

COCO BEACH

COCO BEACH

RJ

RJ
Home » » R.I.P JANE MPONZI

R.I.P JANE MPONZI


Familia ya Bwana Gabriel Mponzi wa Oysterbay,Jijini  Dar-es-salaam.Wanasikitika kutangaza kifo cha mpendwa mtoto wao Jane Mponzi “Mama Melanie” pichani kilichotokea siku ya jumapili tarehe 4/3/2012 katika Hospitali ya Agha Khan Dar-es-salaam. Ibada ya kumuaga marehemu itafanyika Jumanne tarehe 6/3/2012 nyumbani kwa marehemu Oysterbay, Dar-es-salaam kuanzia saa 6 mchana na marehemu atazikwa Ipamba-Tosamaganga, Iringa siku ya Jumatano tarehe 7/3/ 2012. Kwa maelezo zaidi kuhusu ratiba ya mazishi, wasiliana na mwenyekiti wa kamati ya maandalizi Dr. Ponziano Mponzi kupitia namba 0767 600 604. Ndugu, jamaa na marafiki waliopo mbali, wanaweza  kutuma michango yao ya kufanikisha safari ya mwisho ya kwenda kumlaza mpendwa wetu Iringa kupitia: M-PESA- 0756 -999-900, TIGO PESA- 0713 -123- 617, AIRTEL MONEY- 0784- 615-566. Bwana ametoa na Bwana ametwaa,Jina la Bwana  lihimidiwe.
Amina.

0 comments:

Post a Comment

 
Supported by : Jeedy Girl
Copyright © 2012. life goes on - All Rights Reserved
Modified by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Jeedy Girl