Hii imetokea huko majuu ni baada ya mapaparazi kuwafyotoa picha watoto wao Panelope Scotland Disick baby girl wa Kourtney na North West wa Kim Kardashian

Hapa bongo haipo hiyo lakini to them wamechukulia tofauti kuzungukwa na mapaparazi na watoto wao kupigwa picha ....
Penelope is one and North West is only 6 months old. There needs to be laws in place when babies and children are being affected by paparazzi ndivyo wanavyo dai.
0 comentários :
Post a Comment