DASH COMMUNICATION

DASH COMMUNICATION

ZANELLE BONGO LADIES WEAR

ZANELLE BONGO LADIES WEAR

ANDY BEACH

ANDY BEACH

AK

AK

NASAROG

NASAROG

NAKEMEA MAUAJI YA ALBINO

NAKEMEA MAUAJI YA ALBINO

Baby shop

Baby shop

COCO BEACH

COCO BEACH

RJ

RJ
Home » » MIKOROGO YA ULAYA NDIO HABARI YA MJINI

MIKOROGO YA ULAYA NDIO HABARI YA MJINI

This is what's goin on in town bwana tusifichefiche Life Goes On...asilimia kubwa ya wanawake kwa sasa wanataka kung'aa na kuwa weupe...
Watu wako busy na ngozi zao unakuta mtu anatumia mcream, mkorogo huo mkali harufu ukipishana naye hadi unapaliwa sasa sijui ukiingia naye chumbani inkuwaje? 
wadada wengi wanatumia mikorogo hatari mikali kiasi kwamba baadae hiyo mikorogo inaharibu ngozi zao
Nashauri kwa wale wanaopenda kujichubua na makarolite waache jamani yamepitwa na wakati tena yamepigwa marufuku yanaweza kukuletea cancer. Pia na habari nzuri kwa kina dada wanaopenda kuwaka na kung'aa kuna bidhaa nzuri zilizo hakikiwa kwa kiwango cha hali ya juu na ni bora kwa ngozi yako basi fika mara moja AK Classic Kinondoni manyanya ama tembelea duka  lao la Sinza kumekucha na kwa maelezo zaidi wapigie +255753482909 
akclassic.blogspot.com
Mambo ya ulaya ulaya tu hapa

Naomba niwajuze kuna mafuta cream na mengineyo full full ....product ambayo utaweza kutumia kwa muda mfupi tu nakuweza kung'arisha ngozi yako na kuiacha yenye mvuto wa hali ya juu na ikiwa bora (Health) hamna ma cancer huku wala ngozi kububujika wala misugu kwenye vidole hamna wala harufu kali hamnaWahi mapema ziko chache tibu ngozi yako ipendeze na usiiharibu  kwa karolaiti

1 comments:

Anonymous said...

hamna dawa yoyote ya kuchubua skin ambayo ni bora kwa ngozi yako! Ni kiwango tu cha kuchubua ndiyo kinachokuwa regulated in these big name products....better to NOT do this at all because there is always risk ladies!!!

Post a Comment

 
Supported by : Jeedy Girl
Copyright © 2012. life goes on - All Rights Reserved
Modified by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Jeedy Girl