DASH COMMUNICATION

DASH COMMUNICATION

ZANELLE BONGO LADIES WEAR

ZANELLE BONGO LADIES WEAR

ANDY BEACH

ANDY BEACH

AK

AK

NASAROG

NASAROG

NAKEMEA MAUAJI YA ALBINO

NAKEMEA MAUAJI YA ALBINO

Baby shop

Baby shop

COCO BEACH

COCO BEACH

RJ

RJ
Home » » TBL & PEPSI MAKING WONDERS ON CHAGGA DAY 2012

TBL & PEPSI MAKING WONDERS ON CHAGGA DAY 2012

Hakuna kukosa Chagga Day Kutakuwa na Kiburu usha wahi kuonja hii????
na pia kutakuwa na Mbege, Kisusio, Mtori, Shiro, Mcharari, Kilawa na mengineyo mengi tu yote hayo kujikumbushia nyumbani Moshi.Siyo Ndafu hadi Harusini! njoo ujilie Ndafu. Hii si yakukosa.

3 comments:

Anonymous said...

CAN'T WAIT! NITAPATA WAPI TICKET NATAKA 3 PLEASE

Judy Mwaheleja said...

ticket zipo mlangoni hujachelewa bado

aida alban said...

At Leaders CLUB now|: CHAGGA DAY CULTURAL FESTIVAL 2012..MUNAKARIBISHWA SANA KIINGILIO 5000 TU? NA KWA VIP 25000 AMBAPO UNAPATA NA BUFEE YA VYKAULA NA VINYWAJI VYA KICHAGGA VYOTE. ASANTE KWA TIKETI NA MAULIZO;0719/0767-076376 (Andrew Chale) USIBIPU KIBIAHARA ZAIDI.

BURUDANI MBALIMBALI KUTOKA TWANGA PEPETA,MSONDO NGOMA NA BENDI YA MFALME CHINI YA SIBOKA. PIA WAZEE WA KICHAGGA WATAELEZEA MAMBO MBALIMBALI YA MILA NA TAMADUNI ZA KICHAGGA NA MAKABILA MENGINE YATAKUWEPO KARIBU SANA KARIBU NA FAMILIA YAKO KARIBU WEWE NA JIRANI ZAKO. ASANTE.
CHAGA DAY "SIKU YA WACHAGA"
Come for All Chaga Traditional foods and Beverages like Ndafu, Mtori, Makande, Macharali, Kiumbo, Shiro, Ng'ande, Kilawa, Ngararimo, Mbege, Dadie to mention but a few. We shall have Chaga Traditional Dance Groups as well as Chaga Tribe History by Chaga Elders from Kilimanjaro Region. Organizer: MYWAY ENTERTAINMENT Main Sponsors: TBL, SBC-PEPSI, HOME SHOPPING CENTRE & CLOUDS FM. Other Sponsors: Multichoice Tz, Zizou Fashion, CXC africa, Giraffe Hotel, Mlonge Bi Makai, Canocity Tz,Tesco Furniture, TDL, Supper Sippy and IPP Media Group. U R ALL WELCOME!!! KARIBUNI SANA!!!
Today at 10:00 at Leaders club

Post a Comment

 
Supported by : Jeedy Girl
Copyright © 2012. life goes on - All Rights Reserved
Modified by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Jeedy Girl