DASH COMMUNICATION

DASH COMMUNICATION

ZANELLE BONGO LADIES WEAR

ZANELLE BONGO LADIES WEAR

ANDY BEACH

ANDY BEACH

AK

AK

NASAROG

NASAROG

NAKEMEA MAUAJI YA ALBINO

NAKEMEA MAUAJI YA ALBINO

Baby shop

Baby shop

COCO BEACH

COCO BEACH

RJ

RJ
Home » » AMANI PLACE KUNANIIIIIIIIIIIIII???

AMANI PLACE KUNANIIIIIIIIIIIIII???

Ni asubuhi nyingine nzuri. mara moto ukaibukia kwenye mjengo wa parking za Amani Place, safarii napenda kutoa pongezi kwa uongozi mzima wa jengo hili na kamati nzima ya uzimaji moto kwani waliweza kuumudu moto nakufanikiwa kuuzima mapema mno hivyo kuto thababisha hasara kubwa. mpaka sasa ni gari moja tu ndilo lililo ungua.
lakini swali linakuja ni kwanini kila kukicha habari za MOTO haziishi kwenye mjengo wa Amani Place?????
chanzo ni nini?


Tukio la leo

Big up iliwasili kwa wakati mno.....no complains


Umati wa watu wakihaha kunani tenaaaa???


Moto ukitokea pande za maegesho ya magari


Zimamoto wakijitahidi kuzima moto gari lilokuwa likiteketea
Hali hii yakujirudia rudia inakosesha amani watu wa mjengoni Amani place.
hapa wanashauriana warudi kufanya kazi au wasepe mahome!!!!


Binti kazira kufanyazi kaamua kusepa home.


0 comments:

Post a Comment

 
Supported by : Jeedy Girl
Copyright © 2012. life goes on - All Rights Reserved
Modified by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Jeedy Girl