DASH COMMUNICATION

DASH COMMUNICATION

ZANELLE BONGO LADIES WEAR

ZANELLE BONGO LADIES WEAR

ANDY BEACH

ANDY BEACH

AK

AK

NASAROG

NASAROG

NAKEMEA MAUAJI YA ALBINO

NAKEMEA MAUAJI YA ALBINO

Baby shop

Baby shop

COCO BEACH

COCO BEACH

RJ

RJ
Home » » LET'S PRAY FOR THIS LOVING DAD

LET'S PRAY FOR THIS LOVING DAD


Uncle Japhet With His Flowers
Nawaomba wote kwa ujumla maombezi yenu kwani nahisi yatasaidia kumpunguzia maumivu makali anayopata baba yangu mdogo JAPHET RUBEN MWAHELEJA (Owner of RJ INSURANCE AGENCY). Hali yake ni mbaya kwa kweli baada ya kukata tamaa na kufatia kurudishwa kutoka india alipopelekwa kutibiwa. Kwasasa anahitaji maombezi na huruma na faraja kwakweli.
Sijui nifanyaje kwani nahisi anahitaji zaidi ya sala zangu. Namuomba mungu sana ajalie miujiza na kumsimamisha tena kutoka kitandani alikolazwa Agakhani Hospital.

0 comments:

Post a Comment

 
Supported by : Jeedy Girl
Copyright © 2012. life goes on - All Rights Reserved
Modified by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Jeedy Girl