
Nicki Minaj hakoseagi na lishape lake

Miley Cyrus huyu kama kawaida yake na nguo zake za ajabu ajabu

Britney Spears huyu naye naona bangi zimeanzakuisha anarudi katika hali yake ya zamani

Ciara analea lakini yumo na fasheni ya kivyake

Rita Ora huyu anakisura kizuri kama Beyonce

Gigi Hadid naye alitingisha na kivazi chake

FKA Twigs alinoga na kivazi chake matata
0 comentários :
Post a Comment