DASH COMMUNICATION

DASH COMMUNICATION

ZANELLE BONGO LADIES WEAR

ZANELLE BONGO LADIES WEAR

ANDY BEACH

ANDY BEACH

AK

AK

NASAROG

NASAROG

NAKEMEA MAUAJI YA ALBINO

NAKEMEA MAUAJI YA ALBINO

Baby shop

Baby shop

COCO BEACH

COCO BEACH

RJ

RJ
Home » » JINSI YA KUONDOA CHUNUSI SUGU

JINSI YA KUONDOA CHUNUSI SUGU


Asali ikiwa imechanganywa na mdalasini tayari kwa matumiziWadau wetu wale ambao wanasumbuliwa sana na CHUNUSI iwe USONI, KIFUANI, MGONGONI n.k wanaweza tumia mchanganyiko mzuri wa ASALI na MDALASINI WA UNGA kwa kupaka angalau mara moja kwa siku.
ASALI na MDALASINI zinasaidia kuponyesha kwasababu zina tabia za ANTI-BACTERIAL( zinaua na kuzuia mazalia ya bacteria)
Jinsi ya kufanya:-
1. Chukua vijiko vitatu(3) vya chai vya ASALI
2. Chukua nusu kijiko cha chai cha MDALASINI WA UNGA safi
3. Changanya pamoja kupata uji uji mzuri
4. Paka sehemu yenye chunusi na kisha kaa nayo kwa angalau dakika 10-30 kisha osha kwa maji ya uvuguvugu.
ANGALIZO: MDALASINI unaweza kuwasha kwenye ngozi hivyo unashauriwa ujaribu kupaka kidogo kwenye kiganja cha mkono kwanza ili kupata uhakika kua haitakusumbua.

(Imeandaliwa na Honey Spring na Jamiimojablog)

0 comments:

Post a Comment

 
Supported by : Jeedy Girl
Copyright © 2012. life goes on - All Rights Reserved
Modified by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Jeedy Girl