DASH COMMUNICATION

DASH COMMUNICATION

ZANELLE BONGO LADIES WEAR

ZANELLE BONGO LADIES WEAR

ANDY BEACH

ANDY BEACH

AK

AK

NASAROG

NASAROG

NAKEMEA MAUAJI YA ALBINO

NAKEMEA MAUAJI YA ALBINO

Baby shop

Baby shop

COCO BEACH

COCO BEACH

RJ

RJ
Home » » R.I.P SHARO MILLIONER

R.I.P SHARO MILLIONER


SHARO BARO AK SHARO MILLIONER

Inasikitisha mno kuona vipaji vinavyo kuja juu vinaangamia hivi, ni uzuni iliyoje kumpoteza kijana machachari mwenye kipaji cha hali ya juu katika umri mdogo alionao.
Wote tumejivunia kazi zake nzuri katika upande wa bongo movie na bongo flava kwa kweli ni pigo kubwa kwa watanzania.

Kilichonigusa zaidi ni baada ya kuona message yake ya mwisho kupitia BBM inaonesha kabisa hakuwa anajisikia vizuri kifo kilimuita lakini alishindwa kuyashindwa mauti MAMA alikuwa mtamu kwake na hakuona raha ya kulala bila ya kwenda kumuona na kumpelekea pesa.
Below ni last message of Sharo MillionerREST IN PEACE MAN... WE ALWAYS REMEMBER YOU!!!


0 comments:

Post a Comment

 
Supported by : Jeedy Girl
Copyright © 2012. life goes on - All Rights Reserved
Modified by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Jeedy Girl