DASH COMMUNICATION

DASH COMMUNICATION

ZANELLE BONGO LADIES WEAR

ZANELLE BONGO LADIES WEAR

ANDY BEACH

ANDY BEACH

AK

AK

NASAROG

NASAROG

NAKEMEA MAUAJI YA ALBINO

NAKEMEA MAUAJI YA ALBINO

Baby shop

Baby shop

COCO BEACH

COCO BEACH

RJ

RJ
Home » » MKONO WA RAMADHAN NA MBONI SHOW IMEWEKA HISTORIA JIJI DAR

MKONO WA RAMADHAN NA MBONI SHOW IMEWEKA HISTORIA JIJI DAR

Ilikuwa tarehe 29th June 2016 jiji la Dar es salaam liliamia Karimjee Hall ambapo Mboni Show iliweza kutoa mkono wa ramadhani kwa kufuturisha mamia ya watanzania wakiwemo watu maarufu mbali mbali,
Mgeni rasmi akiwa ni Mama Samia Suluhu na watoto yatima.


Pichani Mboni Masimba akiwa na Makamu wa raisi Mama Samia Suluhu

 
Kwa mara nyingine Mboni Show imeweza kufuturisha watoto yatima.

Wageni mbali mbali walioweza kufika kwenye Iftar Wageni mbali mbali walioweza kujitokeza Karimjee Hall kwenye Iftar iliyoandaliwa na Mboni Show


Hoyce Temu 


Shamimu Mwasha, Maznat Sinare, Judith Mwaheleja Jeedygirl, Lulu Kiluvia, Monica Joseph, Salma Mzava, Adeline Mushi Rose Mbago na Hoyce Temu


Aunt Ezekiel na Adeline Mushi


Salma Mzava


Jachline Wolper akiwa na Emmy Lukindo mamaa wa Lovtouch

 
Mh. Paul Makonda na Ben KinyaiyaSi watu wengi wanaoweza kufanya kitu kikubwa chenye thawabu kama hiki hakika Mboni Show imekuwa mfano. Ubarikiwe kwa kuendelea kutambulisha vituo vya watoto yatima mbali mbali pia kwa kujitolea michango mbalimbali katika jamii hakika jamii inakubali na kuona mchango wako.
Mwenyezi Mungu azidi kukubariki!

2 comments:

COMPUTER DOCTOR said...

That was a great day ....
Mungu awajalia tena waweze kuwa wanashiriki vyema event zote za yatima na wenye shida mbalimbali

COMPUTER DOCTOR said...

That was a great day ....
Mungu awajalia tena waweze kuwa wanashiriki vyema event zote za yatima na wenye shida mbalimbali

Post a Comment

 
Supported by : Jeedy Girl
Copyright © 2012. life goes on - All Rights Reserved
Modified by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Jeedy Girl