DASH COMMUNICATION

DASH COMMUNICATION

ZANELLE BONGO LADIES WEAR

ZANELLE BONGO LADIES WEAR

ANDY BEACH

ANDY BEACH

AK

AK

NASAROG

NASAROG

NAKEMEA MAUAJI YA ALBINO

NAKEMEA MAUAJI YA ALBINO

Baby shop

Baby shop

COCO BEACH

COCO BEACH

RJ

RJ
Home » » BAJAJI NA PIKIPIKI ZIMEKUWA MTAJI WA KUJIPATIA RUSWA YA PESA KWA KAMATAKAMATA

BAJAJI NA PIKIPIKI ZIMEKUWA MTAJI WA KUJIPATIA RUSWA YA PESA KWA KAMATAKAMATA

Agizo la serikali kuzuia usafiri wa bodaboda mjini umegeuka kuwa kitega uchumi kwa baadhi ya vijana walioajiriwa kuhakikisha agizo inatekelezwa.
Hii imethibitika baada ya mwandishi wa Mo Dewji Blog kufumania tukio la vijana wa jiji wakidai rushwa wazi wazi bila woga kwa mwendesha pikipiki wa magurudumu watatu maarufu kama bajaji.
Kachero wetu (jina limehifadhiwa) alifanikiwa kupata picha za wala rushwa pamoja na kunasa sauti za tukio lote.
IMG-20160203-WA0009
Baadhi ya wafanyakazi wa Tambaza wakiwa pembezoni ya barabara katika daraja la Salenda.
IMG-20160203-WA0010
Mmoja wa mfanyakazi wa Tambaza akisimamisha bajaji.
IMG-20160203-WA0014 IMG-20160203-WA0015
Wafanyakazi wa Tambaza wakizungumza na dereva wa bajaji na kumuomba rushwa ya shilingi 10,000
IMG-20160203-WA0012
Wafanyakazi wa Tambaza (walio na mashati ya rangi nyeupe) wakizungumza na dereva wa bajaji

0 comments:

Post a Comment

 
Supported by : Jeedy Girl
Copyright © 2012. life goes on - All Rights Reserved
Modified by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Jeedy Girl