DASH COMMUNICATION

DASH COMMUNICATION

ZANELLE BONGO LADIES WEAR

ZANELLE BONGO LADIES WEAR

ANDY BEACH

ANDY BEACH

AK

AK

NASAROG

NASAROG

NAKEMEA MAUAJI YA ALBINO

NAKEMEA MAUAJI YA ALBINO

Baby shop

Baby shop

COCO BEACH

COCO BEACH

RJ

RJ
Home » » WATANZANIA WAPEWA SOMO KUHUSU DIPLOMASIA YA UCHUM (ECONOMIC DIPLOMACY)..SOMA HAPA

WATANZANIA WAPEWA SOMO KUHUSU DIPLOMASIA YA UCHUM (ECONOMIC DIPLOMACY)..SOMA HAPA

Kutoka kushoto ni Balozi mstaafu Ahmed Kiwanuka,Nduwayo Mzonya,Hussein Melele,na Rashid Njenga wakiwasikiliza wachangaji mbalimbali katka kongamano hilo lijulikanalo Epowerment of Economic Diplomacy in Tanzania .

Balozi mstafu wa Tanzania Nchini India ambaye pia ni mwalimu katika chuo cha diplomasia Balozi Ahmed Kiwanuka akitoa mhuadhara elo kuhusu namna Tanzania inavyoweza kutekeleza diplomasia ya uchumi kupitia ekta mbalimbali na kwa kutumia makundi mbalimbali

Allan Kasamala (mwenye shati ya bluu) akiwa na Baadhi ya washiriki walioshiriki kongamano hilo ambalo limeandaliwa na Wanafunzi,wahitimu na marafiki wa chuo cha diplomasia leo katka ukumbi wa chuo hicho  kilichopo kurasini jijini Dar es Salaam ambapo kongamano hilo limeandaliwa na uongozi wa serikali ya wanafunzi wakishirikiana na wahitimu wa Kozi mbalimbali za mwaka wa masomo 2014/2015 wakiongozwa na Simalenga Simon amaye amemaliza PGD MFR 2014/2015.
Washiriki wa kongamano hilo.

0 comments:

Post a Comment

 
Supported by : Jeedy Girl
Copyright © 2012. life goes on - All Rights Reserved
Modified by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Jeedy Girl