DASH COMMUNICATION

DASH COMMUNICATION

ZANELLE BONGO LADIES WEAR

ZANELLE BONGO LADIES WEAR

ANDY BEACH

ANDY BEACH

AK

AK

NASAROG

NASAROG

NAKEMEA MAUAJI YA ALBINO

NAKEMEA MAUAJI YA ALBINO

Baby shop

Baby shop

COCO BEACH

COCO BEACH

RJ

RJ
Home » » CHAGGA DAY MOSHI HERE WE COME

CHAGGA DAY MOSHI HERE WE COMETumezoea kuona ikifika tarehe 20 December hivi wachagga wote wanakimbia jiji la DAR na kwenda kula sikukuu za xmas na mwaka mpya MOSHI sasa safari hii tutabanana huko huko moshi ni jumamosi ya tarehe 23/December/2012, Chuo cha ushirika, kuanzia saa 4 asubuhi na kuendelea....
Akudo Impact Band ndani ya nyumba bila ya kukosa nyimbo za kichagga na mambo mengi mengine 
Usingojee usimuliwe njoo jionee mwenyewe na uburudike na vyakula na vinywaji vya asili ya kichagga.
Mama ng'ang'ania safari hii uende MOSHI shikamana ahaaaa
                             
               CHAGGA DAY NDIO HABARI YA MJINI!!

0 comments:

Post a Comment

 
Supported by : Jeedy Girl
Copyright © 2012. life goes on - All Rights Reserved
Modified by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Jeedy Girl