Thursday, 4 May 2017

WATANZANIA TUACHE UNAFIKI TUWASAIDIE DAZ BABA NA CHID BENZI

Ndugu mtanzania usitake ndugu zetu Chid Benzi na Daz Baba wa Daz Nundaz waage dunia ndio tuje na michango mikubwa na kuwalilia sana na kuwasifia na kujuatia kuwa tumepoteza watu muhimu kwenye tasnia ya muziki.
Hebu  tuacheni unafiki. 
0na hali ya ndugu zetu kwa sasa na zamani inasikitisha kwakweli kama kuna kitu tunaweza kukifanya basi kifanyike kwa sasa tusije kuwapoteza

Hali ya daz baba kwa sasa
Image result for daz baba

Image result for daz baba
 Related image

Daz Baba enzi zake
Image result for daz baba
Image result for daz baba

Chid Benzi 
Related image
Image result for chid benzi
Hapa kidogo kaanza kurudisha hali yake 
Image result for chid benzi

Chid Benzi zamani za enzi zake
Image result for chid benzi
Related image
Image result for chid benzi
Watanzania kwa ujumla tuamke tuwapiganie wasanii wetu warudi kwenye ubora wao tumeanza na Ray C, tumefanya kwa Q Chief basi tuendelee kuwakomboa na hawa Daz Baba na Chid Benzi
 

No comments:

Post a Comment