Tuesday, 21 June 2016

DON'T MISS THIS WEDNESDAY COCO BEACH KARAOKE!!!!!!


 Karibu Coco beach Karaoke jumatano hii....wimbo wa wiki ni BAILANDO ulioimbwa na ENRIQUE IGLESIAS, Ukiweza kuimba wimbo huo vizuri watu wakakuelewa Utakuwa umejishindia 10 FREE DRINKS!!!!!! YES!! yaani kama ni mtu wa Vyombo utakuwa umejipatia BIA 10 BUUUUUUURE KABISA!!! ni jumatano hii tar 22 june kuanzia saa 2 usiku na kuendelea....USIKOSE!!!

No comments:

Post a Comment