Tuesday, 10 May 2016

ITAMBUE REMNANT GENERATION SINGER'S

Remnant ni kikundi chenye madhumuni ya kumtumikia Mungu kwa njia ya uimbaji na kusaidia wahitaji wanaoishi katika mazingira magumu.
Dira ya kikundi ni kufundisha na kuhamasisha jamii kuwa na maadili mema, kutoa elimu ya kujitegemea na kujitambua ili waweze kujenga taifa lililo imara na amani ikiwa nipamoja na kujiajiri.
Azma ya kikundi ni kuhakikisha elimu inatolewa kwa njia ya nyimbo, mafunzo ya nadharia ili kubuni mbinu za kuleta ajira na kutokomeza utegemezi na uzururaji.

Wanakikundi wa Remnant Generation Singer's wakiwa katika picha ya pamoja

Kiongozi wa Remnant Mama Anna Matinde akiongea mawili matatu kuhusu umoja wa Remnant Generation Singer's


Contacts
Anna Matinde
P.O Box 105628
Dar es Salaam


Kauli mbiu ya REMNANT GENERATION SINGER'S ni Save the world Jesus is coming

No comments:

Post a Comment