Thursday, 24 October 2013

FORTU BDAY BASH @COCO BEACH

Fortunata Olomi Baby Girl, if you looked up the meaning of friend in the dictionary your picture would appear. Happy Birthday my friend. May the Lord bless you and keep you strong everyday!!!

Watu tulikula cake yam yam (Special Occasion ) mpaka tukajilamba.

Sambuca, Tequila, Shooters Time!!!!!
 

 


 
  
 
  
Kitimoto cha Coco kitamu balaaa wewe ukifika agizia 'Gody Special' utaletewa hiki
 Watu wakataka wajilipue zaidi ikaletwa Jack Daniel "Gentleman Jack" na shots zikaendelea....



Dancing mpaka chini!!!!!!!!!!!

6 comments:

  1. Hongereni sana...,hope mlii-enjoy

    ReplyDelete
  2. Yaani ilikuwa bombs sana naona bibie mauno mpaka chini

    ReplyDelete
  3. @zeenat asante tulikula bata mno natamani azaliwe tena huyo mtoto ila leo kuna mwingine anazaliwa tulikuwa naye that day Cocobeach ndio nimekumbukia

    ReplyDelete
  4. @Elias...inakaribia bday safari hii husikose umeona ehee tulikuwa na Dk. Loyce na wengine jitayarishe soon will be a day tutakuita

    ReplyDelete
  5. Birthday Girl Fortunata anapenda sana Music anywe pombe asinywe huwezi kumjua she dancing like nobodies business ahaaaaa...

    ReplyDelete