Monday, 28 October 2013

BABY MERCY NICOLE BAPTISM @MWAHELEJA'S PLACE

YESU alisema waacheni wadogo waje kwangu maana ufalme wa mbingu ni wao haya yalitimia tarehe 25th, October 2013, mtoto Mercy Nicole alipopelekwa na Bibi na Babu Mwaheleja kubatizwa katika kanisa la St. Peter Obay.

Hongera baby Mercy Nicole
 

Wajukuu wa mzee Mwaheleja


Lil' bro na mamsup wake
Wajukuu wa mzee Dinya hao

 Moi na my lil'bro (bwana harusi mtarajiwa)

Kwaraha zangu mjamzito mie mwenye appetite ya kula biriani



                             Mashosti watatu hao


No comments:

Post a Comment