Thursday, 25 August 2011

WILL SMITH AND JADA Reportedly SEPARATE

WILL SMITH & JADA
       

            There is Rumors that Will Smith and Jada Pinkett Smith have separated ..
Will and Jada have been married for 13 years and have two extremely famous children together -- Jaden and Willow. Will has another son, Trey, from a previous marriage.
             Haya mambo ya ndoa asikuambie mtu yapo kila kona kwa masikini wenzangu na mie matajiri, maraisi pande zote za dunia.
             Ninacho penda kuwaambia kuwaasa ni kuwa wavumilivu ndani ya ndoa maana hata ukimwacha huyu uliyenaye unaweza kukutana na mwenye vitimbi zaidi ya hata wa mwanzo, ukaishia kubadili kila siku kama nguo. kuwa ngangali na ndoa yako simama kidete pigania ndoa yako huyo ndio wako wa maisha kufa na kupona. USIDANGANYIKE!!!!!!!!



No comments:

Post a Comment