Thursday, 25 August 2011

IT'S SO SAD TO SEE CHILDREN DIED IN SOMALIA FOR HUNGER

it's so sad to see child like this need food and no where to find
check watoto wanavyoumwa na njaa kwa ukosefu wa chakula hadi wamelazwa hoi vitandani kwa ukame huko SOMALIA na inanitia hasira sana kuona mtoto anapewa chakula na hataki kula.
mfano halisi ni picha ya Ethan ifuatayo.


Ethan wangu ni mtoto mmoja wapo ambaye ananiuzi sana ni vile tu bado hajawa na akili vinginevyo ningempeleka SOMALIA akashinde njaa huko. hataki kula kabisa  ananiangaisha mno.

No comments:

Post a Comment