Kundi la vijana chini ya Youth Power Organization waliweza kukusanya vijana mbalimbali jijini Tanzania kuweza kupaza sauti kwa umoja wao hii ni pamoja na kuchukua hatua kwenye maswala mazima ya haki sawa kwa binadamu wote bila ya kujali jinsia.
Iliweza kuelimisha jamii na kuwasanua viongozi wa sekta mbalimbali kuwa kwakufuata sera au programu ambayo inatimiza vigezo vya msingi ambayo ni kanuni za kijinsia, majukumu na mahusiano na kuzingatia haswa ikibidi hatua zichukuliwe ili kupunguza kikamilifu madhara ya kanuni, majukumu na mahusiano ya kijinsia ikiwa ni pamoja na ukosefu wa usawa wa kijinsia.
Kikao kilienda salama na hatua za kuwafikia jamii na wahusika zilifanikiwa kwa kiasi kikubwa kweli kupaza sauti kupitia mitandao ya jamii inasaidia
Waragabishi kwenye picha ya pamoja
0 comentários :
Post a Comment