Friday, 21 April 2017

Brad Pitt Divorcing Angelina Jolie

Ni miezi sita sasa tangia kutangazwa kwa ndoa ya wapendanao hawa wawili kuvunjwa penzi ambalo lilitingisha dunia nzima.
 Image result for brad pitt and angelina jolie pictures
Image result for brad pitt and angelina jolie pictures

Wawili hawa waliweza kudumisha uchumba kwa miaka 12 na kuwapelekea kuoana na kudumu miaka miwili tu kitu ambacho kimewaacha watu wengi midomo wazi nakujiuliza je wawili hawa hawakupaswa kuoana? yaani wangebakia wachumba tu ili wazidi kudumu maisha?
Lakini sababu kuu zinazosemekana zilizowatenganisha wawili hawa ni ulevi uliopindukia wa bwana Brad Pitt
Brad Pitt, GQ Style
Hivi sasa Brad ameachapombe ili awe baba bora kwa watoto wake 6.
Je unahisi watarudiana tena?
Ila tunaambiwa we always lose something for love let's see........ Life Goes On......

1 comment:

  1. was best couple for sure we pray for them to resolve their differences

    ReplyDelete