Sunday, 19 March 2017

MAZA SINARE WE CALL HER PURE HEART

Maza Sinare wa Maznat Bridal ni Malkia wa nguvu wa Tanzania

Akiwa kama mama mlezi anafurahia kumuozesha binti yake Snura 

                       Anashiriki matendo ya kujitolea kwa wanafunzi  

                 
                     Hapa alishiriki kwenye kwenye project ya kugawa
                           VIHIFADHI HEDHI kwa wanafunzi wa kike
Alivunja record kwa kutoa fursa mbalimbali kwa wanawake wa dar es salaam

                             Nimtoaji zawadi mzuri hata kama hakujui

    Nikimbilio la wanawake wengi anapendwa na yeye anaupendo ambao hauelezeki

No comments:

Post a Comment