Monday, 24 October 2016

SAUTI YA MWANAMKE IPEWE NAFASI KWA MAENDELEO YA TAIFA

The Mboni Show inakuletea tamasha la SAUTI YA MWANAMKE litakalo fanyika Jumapili tarehe 6 November 2016 jijini Mwanza katika Hotel ya Gold Crest kuanzia saa 10 jioni kwa mtonyo wa shilingi 40,000 elfu tu hiyo ni pamoja na vyakula na vinywaji. Hii si ya kukosa... siku hiyo kutakuwa na mafundisho vichekesho na burudani mbalimbali
KARIBU!!!!!!

No comments:

Post a Comment