Friday, 1 July 2016

MKONO WA RAMADHAN NA MBONI SHOW IMEWEKA HISTORIA JIJI DAR

Ilikuwa tarehe 29th June 2016 jiji la Dar es salaam liliamia Karimjee Hall ambapo Mboni Show iliweza kutoa mkono wa ramadhani kwa kufuturisha mamia ya watanzania wakiwemo watu maarufu mbali mbali,
Mgeni rasmi akiwa ni Mama Samia Suluhu na watoto yatima.


Pichani Mboni Masimba akiwa na Makamu wa raisi Mama Samia Suluhu

 
Kwa mara nyingine Mboni Show imeweza kufuturisha watoto yatima.

Wageni mbali mbali walioweza kufika kwenye Iftar 



Wageni mbali mbali walioweza kujitokeza Karimjee Hall kwenye Iftar iliyoandaliwa na Mboni Show


Hoyce Temu 


Shamimu Mwasha, Maznat Sinare, Judith Mwaheleja Jeedygirl, Lulu Kiluvia, Monica Joseph, Salma Mzava, Adeline Mushi Rose Mbago na Hoyce Temu


Aunt Ezekiel na Adeline Mushi


Salma Mzava


Jachline Wolper akiwa na Emmy Lukindo mamaa wa Lovtouch

 
Mh. Paul Makonda na Ben Kinyaiya



Si watu wengi wanaoweza kufanya kitu kikubwa chenye thawabu kama hiki hakika Mboni Show imekuwa mfano. Ubarikiwe kwa kuendelea kutambulisha vituo vya watoto yatima mbali mbali pia kwa kujitolea michango mbalimbali katika jamii hakika jamii inakubali na kuona mchango wako.
Mwenyezi Mungu azidi kukubariki!

2 comments:

  1. That was a great day ....
    Mungu awajalia tena waweze kuwa wanashiriki vyema event zote za yatima na wenye shida mbalimbali

    ReplyDelete
  2. That was a great day ....
    Mungu awajalia tena waweze kuwa wanashiriki vyema event zote za yatima na wenye shida mbalimbali

    ReplyDelete