Tuesday, 22 September 2015

TASWE YAZIDI KUSAMBAA NCHINI TANZANIA

Hivi karibuni Tanzania Saccos for Women Enterprenuers wameweza kufungua matawi Dodoma na Siha nchini Tanzania. Hii inaonesha jinsi gani TASWE imezamilia kukomboa wanawake wa kitanzania na wajasiliamali wote nchi nzima

Mwenyekiti na mwanzilishi wa TASWE mama Anna Matinde alikuwepo kwenye sherehe hizo zakufungua tawi la TASWE Dodoma na TASWE Siha.
Mnamo tarehe 9 / 09 / 2015 TASWE tawi la Dodoma iliweza kufunguliwa kwa maelezo zaidi ya jinsi ya kujiunga na mfuko huu wa Saccos wasiliana na Katibu wa Taswe Mrs. Lily Matinde kwa namba +255 658 771 863





Baada ya sherehe ya uzinduzi wa tawi la Dodoma mama Matinde akiwa na kamati yake walielekea mpaka Siha huko nako waliweza kufungu ofisi mpya ya taswe kupitia tawi la Siha.








No comments:

Post a Comment