Thursday, 17 September 2015

MAJENGO PACHA YA PSPF YAMEZINDULIWA RASMI NA RAISI JAKAYA MRISHO KIKWETE

Rais Kikwete azindua majengo pacha ya PSPF  jijini Dar es Salaam


Raisi Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuashiria uzinduzi wa majengo pacha ya kitega uchumi ya Mfuko yaliyoko kwenye barabara ya Sokoine jijini Dar es Salaam mnamo Jumatano ya Septemba 16, 2015. Majengo hayo yenye ghorofa 35 yamegharimu kiasi cha shilingi Bilioni 139.2
 
Jengo pacha zenye ghorofa 35 kila moja


Pia Raisi Kikwete na mkewe mama Salma Kikwete walipata fursa ya kujiunga na mpango wa uchangiaji wa hiari.

   

 

Raisi Jakaya Mrisho Kikwete akipokea mfano wa kadi yake na ya mama Salima Kikwete za kujiunga na Mpango wa Uchangiaji wa Hiari wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko huo Mr. George Yambesi huku Mkurugenzi Mkuu wa PSPF Mr. Adam Mayingu akishuhudia.

  

Rais akipokea picha ya majengo pacha kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini

 

  

Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi, WFC, Masha Mshomba, akiwa mingoni mwa wageni wengine waliohudhuria hafla hiyo

 




 

 

 


No comments:

Post a Comment