Friday, 26 June 2015

SISTER NIRMALA JOSHI SUCCESSOR TO MOTHER THERESA IS NO MORE


Sister Nirmala Joshi, who succeeded Mother Teresa as head of her Missionaries of Charity in the eastern Indian city of Kolkata has died.

Mama Theresa alibarikiwa kwakweli ni mama ambaye alikuwa mwenye huruma nilianza kumsikia tokea nikiwa binti mdogo na mama yangu alipenda kunisihi niwe mwenye huruma na upendo kama mama theresa. Kwamuda huo sikuwa nimebahatika hata kumuona lakini nilivyo weza kukuwa bado nilimsikia mama huyu midomoni kwa watu wengi hata shule ukiwa mpole mpole unaonewa unaambiwa changamka usiwe kama mama theresa.

Tulimpoteza mama Teresa mwaka 1997  tukabakia na kumbu kumbu yake kwa sister Nirmala ambaye aliweza kumuhenzi vizuri mama Theresa kwa kufanya aliyo yaanzisha sasa leo hii tumempoteza mama huyu akiwa na miaka 81. Kwakweli tutakukumbuka daima kwa kazi zako za kujitolea kwa mataifa yote na upendo wako haswa kwa watoto. Tunatamani tupate mama Teresa mwingine.
Tutaendelea kuku enzi kwa kuwasimulia watoto wetu upendo na huruma yako ilivyo kuwa kuu.

 





RIP Sister Nirmala Joshi

No comments:

Post a Comment