Tuesday, 30 June 2015

Chekecha Cheketua by Alikiba ndio mpango mzima





ALIKIBA AMEJUA KUTUKAMATA JAMANI KWA NYIMBO ZAKE TAMU TAMU ZINA CHEZEKA SAUTI TAMU ZENYE UJUMBE MZITO WA MAPENZI UKISIKIA UNAHISI UNAIMBIWA WEWE BASI IKIFIKA UNAVYOBIRINGA MAUNO MIE NDIO NAVYO TAKA UNA YABIRINGA HASWAAAA. SI KAMA WENGINE MESEJI ZAO ZINA MLENGA MARA WEMA SEPETU TU MARA SIJUI DADA GANI HATA HUJIHISI SPECIAL WEWE UNAYE SIKILIZA.

BIG UP SANA ALIKIBA KWA KAZI NZURI.

No comments:

Post a Comment