Tuesday, 10 March 2015

TANZANIA BLOGGERS NETWORKING PARTY @SERENA


2015 Tuianze kwa ku support shughuli za bloggers wote wa Tanzania kwani mchango wao ni mkubwa kwa Taifa letu. 
Kwani kwa asilimia kubwa bloggers ndio wanasambaza habari kwa haraka zaidi duniani kwote mtandao unanguvu zaidi.
Tunaamini kwa kuanza na ushirikiano huu blogs za Tanzania zitaleta mageuzi mbali mbali katika nchi yetu ya Tanzania ikiwemo upatanikanaji wa amani, utokomezaji wa mauaji ya wenzetu wenye ulemavu wangozi na kukomesha vitendo vyote vibaya ikiwemo rushwa na dhuruma ikiaminika kuwa bloggers wote wako macho na waapambana na wanashirikiana kueneza habari.
Natoa pongezi kwa viongozi wa Tanzania Bloggers Networking pamoja na wanachama.
I'm proudly to be one of TBN members

Judith Mwaheleja aka Jeedygirl wa Life Goes On Blog


Mdimuz, Jeedygirl na Amina wa Amybel


Jeedygirl wa life goes on blog na Fredy Tony wa mbeya yetu




Michuzi na Gadiola


Udakuspecially na ChingaOne

No comments:

Post a Comment