Monday, 5 January 2015

WEMA acheni aitwe WEMA





As a mother yaani this is soo touching hadi machozi yamenitoka kuna vitoto vidogo yaani kama kitoto changu cha mwisho yaani sikuwahi fikiria haya, umenifanya na mie niingiwe na moyo wa kuwajulia hali watoto yatima.

JAMANI NAWAPENDA WATOTO YATIMA WOTE KOTE DUNIANI NITAKACHO PATA NITAGAWANA NA NYINYI KUANZIA SASA.

NA SISI WENGINE TUIGE MFANO KUTOKA KWA WEMA SEPETU SI TU TUFANYE MAPARTY MAKUBWA WAKATI KUNA WATOTO WANATAMANI MSAADA KUTOKA KWETU.

Thank you @WemaSepetuOfficial kwa video hii yenye mafunzo sana

No comments:

Post a Comment