Friday, 5 December 2014

TIMIZA NDOTO ZA KIJANA RAMADHANI

 
Kwa jina anaitwa Ramadhani Mohamedy yeye ni producer wa filamu pia ni director wa filamu anaomba Watanzania wote hata wa nje ya nchi mumsaidie aweze kutimiza ndoto yake ya muda mrefu maana anategemea kutoa filamu yake ya kwanza hivi karibuni.




Muwezeshe aweze kuitoa filamu yake hii ya kwanza inayo kwenda kwa jina la NON STOP!
 

"Napatikana Tip Top Manzese ..nimeunga unga sana tokea mwaka jana mpaka sasa nakaribia kuimalizia hii filamu yangu ya kwanza ya NON STOP ili iweze kutoka naamini watanzania na dunia nzima kwa ujumla watapokea ujio wangu na wataipenda kazi yangu naamini ninakipaji ambacho kwa sasa kimefichika na ninataka muweze kukiona ili siku moja niweze kuipeperusha bendera ya Tanzania kupitia sanaa hii ya uproduza. Nawaomba sana mniwezeshe nitumie kiasi chochote kupitia simu yangu ya mkononi nikimaanisha TIGO PESA 0719112500 mchango wako ni muhimu sana kwangu.tafadhali nisaidie waambie ndugu najamaa wengine, Asanteni."

Wapendwa tumuwezeshe Ramadhani tuinue kipaji chake anapatikana kwenye namba yake ya mkononi 0719112500.

No comments:

Post a Comment