Wednesday, 29 October 2014

WATANZANIA TUJIFUNZE KUTOKA KWA KANUMBA

                
Watanzania tujifunze kutoka kwa kanumba maana yeye alisemwa sanaaa na alitambua ipo siku atafariki basi ndio mtagundua umuhimu wake. Sasa leo Diamond yuko hai mnamzomea siombei je akifa leo mtamlilia tena kama Kanumba mie nawaita wote watanzania wanafiki hatupendi tukiona watanzania wenzetu wanafika mbali. Kwakweli kila msanii anatakiwa apewe sifa yake avishe taji lake na asifiwe kwa juhudi zake.

Ona sasa bongo movie kwishneyyyy, tunabakia kumlilia Kanumba wa watu na ukimsikiliza hapo vizuri amesema kabisa kama hatuta mlilia basi miti itafanya hivyo. 

RIP STEVEN KANUMBA TUTAKUKUMBUKA MILELE.

No comments:

Post a Comment