Tuesday, 7 October 2014

HAPPY BIRTHDAY ANTHONY MCHANGILA!

Happy birthday to my best friend, my korongwee my dogo, my brother my katuni, my longtime friend,
siwezi hata kumaliza hapa lakini tambua wewe ni rafiki yangu sana. Nakuombea Mungu uishi maisha marefu tena ya mafanikio maana wewe nimpiganaji na nakuaminia utafika. Siunajua nilipoteza rafiki yetu mwingine na iliniuma sanaaa sitaki hata kukumbuka wenyewe tulikuwa team ya watu watatu ...soo sad RIP Gerad, basi nazidi kukuombea ili uweze kusherekea siku hii kwa miaka 1000 na zaidi.


Birthday is always special because it helps you to see how far you have come and how far you still have to go. I wish you Happy Birthday from the bottom of my heart!







 Hope you have a birthday that's as special as you are! Are you ready to party?




 

No comments:

Post a Comment