Friday, 29 August 2014

BRAD PITT & ANGELINA JOLIE GOT MARRIED SECRETLY

Finally BRANGELINA got married last Saturday After being together for 9 years, having six children and getting engaged in 2012




Brad & Angelina wedding was jeopardy because of Brad ex wife Jennifer Aniston

Speaking of Hot couples this are number one ni vile hawavumi sana kwasababu hawana maskendo na wanafanya ya maendeleo.
Brad Pitt, Angelina Jolie, Oscars
Hawa watu mapenzi yao yamedumu kwa kipindi kirefu sana na wameweza kufanya mengi sana kwa vile wote wawili ni wacheza sinema wakubwa wenye majina na mashabiki wengi kwahiyo kwa pamoja wameweza kucheza sinema nyingi na kuwawezesha kuingiza mamilioni ya pesa

 


Hivi ndivyo vya kuiga mastar wetu wabongokama mnapendana wote nyota zina ng'aa badala ya kufanya upuuzi pigeni kazi za maana ndio opportunity zenyewe hizo.

Angelina Jolie, Brad Pitt

 

 



No comments:

Post a Comment