Friday, 4 July 2014

MPIGIE KURA DIAMOND BABY AKE WEMA SEPETU KWENYE TUZO ZA AFRIMMA

afrimma_flyer_web2

Kwamara nyingine tena Diamond Platnum anapepelusha Bendela ya Tanzania hapa akiwa anashindanishwa kwenye tuzo za  #Afrimma( AFRICAN MUSIC MAGAZINE AWARDS) awards,zitakazofanyika jijini Texas,tarehe 26 july.

Watanzania tusiwe na wivu wa maendeleo tuendelee kumsupport ndugu yetu #Diamond Platnum kwa kumpigia kura ili aweze kufika mbali zaidi na kututoa kimasomaso kwenye tasnia ya muziki kiujumla hakika hakuna kama Diamond.
Ametajwa kwenye category 5.
1. Best male east africa
2. Song of the year(number1).
3. Video of the year (number 1)
4. Best collabo (nymber1 rmx) ft davido

5. Best african artist of the year

Kwa kuvote fuata link hii  http://afrimma.com/afrimma-nominees-2014/
Kisha vote kwenye kila category aliyopo Diamond baby wake Wema Sepetu.

No comments:

Post a Comment