Thursday, 13 February 2014

MAJUU KUNA VIOJA JAMANI

Eti 50Cent kajipunguza mpaka kilo 75 kisa ku shoot movie yake ya "All Things Fall Apart" as a cancer patient 
Hebu jionee muonekano wake baada ya kupungua
 
           Kabla                                                                                                      Baada

Nyingine kali ya mwaka ...
Unafahamu kuwa Angelina Jolie anakula wadudu?

Mwenyewe anasema Mende, Nyuki Funza wote anawatafuna kisawasawa na anasema ni watamu sana

No comments:

Post a Comment