Thursday, 14 November 2013

DUNIA IMEKWISHA.................................

Kama ikifikia viongozi tunaowategemea wanafanya vitu vilivyo kinyume na maadili na kutumia madaraka yao kuteketeza watu na kuua kabisa basi naona mwisho wa dunia umewadia.
katika pitapita yangu mitandaoni leo nimekutana na hii kali ya mwaka ....kwakweli inatisha na kusikitisha.

YES, IT'S A VERY BIG SCANDAL:
A Tanzanian Member of Parliament and Former Minister, Professor Juma Kapuya (allegedly HIV-positive) is accused of raping a minor, 14-year-old orphan girl and threatening to kill his victim if the poor girl breaks silence to detail the terrifying encounter!

 

No comments:

Post a Comment