Tuesday, 19 November 2013

A DAY TO REMEMBER @MBALAMWEZI BEACH CLUB PLUS YUSUPH & PRISCA WEDDING

Ilikuwa siku ya furaha na baraka baada ya Bwana YUSUPH ambaye ni mfanyakazi wa TA kupata jiko watu walikula na kunywa kwa furaha kama picha zinavyoonyesha mambo yaliendelea kuwa bambu bambu baada ya team nzima ya TA kuvamia FULL MOON BEACH PARTY pale mikocheni Mbalamwezi













Japo watu walikuwa na halimbaya wengine hawajitambui lakini bado waliingia hamasa ya kuamia Fullmoon beach party  na misuti na mitenge na mi evening dress ahaaa...yote hiyo ni furaha na kuburudika basi team nzima ikatinga Mbalamwezi kwa heshima ya mamaa jeedygirl!!!!









No comments:

Post a Comment