Wednesday, 14 August 2013

BBA INAZIDI KUTULETEA MASHEMEJI TANZANIA

Tunashukuru kwani BBA2 Richard aliweza kututoa kimasomaso kwenye mashindano ya Big Brother Africa yanayoendelea africa ya kusini lakini tokea hapo tunaambulia mashemeji tu.
Mwisho Mwambapa aliweza kutuletea Mnamibia Merly
na sasa Feza anatuletea Mbotswana Oneal
check the link below Queen Feza akiwa na Oneal Hotel tayari kwa maandalizi ya kurudinyumbani

http://youtu.be/lGKHmNs3cv4

No comments:

Post a Comment