Friday, 1 March 2013

MIKOROGO YA ULAYA NDIO HABARI YA MJINI

This is what's goin on in town bwana tusifichefiche Life Goes On...asilimia kubwa ya wanawake kwa sasa wanataka kung'aa na kuwa weupe...
Watu wako busy na ngozi zao unakuta mtu anatumia mcream, mkorogo huo mkali harufu ukipishana naye hadi unapaliwa sasa sijui ukiingia naye chumbani inkuwaje? 
wadada wengi wanatumia mikorogo hatari mikali kiasi kwamba baadae hiyo mikorogo inaharibu ngozi zao
Nashauri kwa wale wanaopenda kujichubua na makarolite waache jamani yamepitwa na wakati tena yamepigwa marufuku yanaweza kukuletea cancer. Pia na habari nzuri kwa kina dada wanaopenda kuwaka na kung'aa kuna bidhaa nzuri zilizo hakikiwa kwa kiwango cha hali ya juu na ni bora kwa ngozi yako basi fika mara moja AK Classic Kinondoni manyanya ama tembelea duka  lao la Sinza kumekucha na kwa maelezo zaidi wapigie +255753482909 
akclassic.blogspot.com
Mambo ya ulaya ulaya tu hapa

Naomba niwajuze kuna mafuta cream na mengineyo full full ....product ambayo utaweza kutumia kwa muda mfupi tu nakuweza kung'arisha ngozi yako na kuiacha yenye mvuto wa hali ya juu na ikiwa bora (Health) hamna ma cancer huku wala ngozi kububujika wala misugu kwenye vidole hamna wala harufu kali hamna



Wahi mapema ziko chache tibu ngozi yako ipendeze na usiiharibu  kwa karolaiti

1 comment:

  1. hamna dawa yoyote ya kuchubua skin ambayo ni bora kwa ngozi yako! Ni kiwango tu cha kuchubua ndiyo kinachokuwa regulated in these big name products....better to NOT do this at all because there is always risk ladies!!!

    ReplyDelete