Wednesday, 12 December 2012

CHAGGA DAY MOSHI HERE WE COME



Tumezoea kuona ikifika tarehe 20 December hivi wachagga wote wanakimbia jiji la DAR na kwenda kula sikukuu za xmas na mwaka mpya MOSHI sasa safari hii tutabanana huko huko moshi ni jumamosi ya tarehe 23/December/2012, Chuo cha ushirika, kuanzia saa 4 asubuhi na kuendelea....
Akudo Impact Band ndani ya nyumba bila ya kukosa nyimbo za kichagga na mambo mengi mengine 
Usingojee usimuliwe njoo jionee mwenyewe na uburudike na vyakula na vinywaji vya asili ya kichagga.
Mama ng'ang'ania safari hii uende MOSHI shikamana ahaaaa
                             
               CHAGGA DAY NDIO HABARI YA MJINI!!

No comments:

Post a Comment