This is what we expecting to our musician this is what we want..... Big up guys! everything is fine in this song vocal, sound, beats, video is so cool.
Diamond na Wema ndio mmenogesha zaidi kabisaaaaaaaa sasa naamini mapenzi ya kweli yapo
True love never die!!!!!
Kilichonivutia zaidi ni Queen Dorin alivyokuwa anaangusha mauno ya kufa mtu
Na ommie Dimpoz akanimaliza kabisaa aliponipa ngeli ya kilugha akaniacha hoi na kusisimkwa mwili aliposema Kanumba japo sielewi hiyo lugha lakini imenivutia sana.
this is soo good man!!!

umeona eh! hii ni balaa dada yangu
ReplyDeleteDude la kufa mtu
ReplyDeleteebwana eheeee hii show ingekuwa kugombea uraisi basi huyo mtu angeshinda moja kwa moja kitu kimeita hiki
ReplyDeletelinex kaimba humu ndani kwa usema wa ukweli, akifuatiwa na Diamond then mzee mzima Banana kafunika balaa kaimba ki profession kabisa then Abdul Kiba kanogesha ile mbaya na sauti yake tamu kama ya kaka yake Ali Kiba na sijui kwanini wamemtenga hiki kichwa kabambe Tanzania. huyu mtoto Queen Darin katia nakshi nakshi za huakika hapo Ommie Dimpoz naye balaa yaani kaimba haswa then yule tall sijui anaitwaje nisaidie dada yangu jeedygirl ila jamaa na uhaaaa zake balaa imependeza sana kwa kweli nimemsahau na huyo mwingine alikuwa kwenye bongo star search naye kaenda na beat si kimtoto. Hao ndio nilio waona wamen'garisha humu na kadada Wema Sepetu kamevutia mno kameleta msisimko humu maana kila mmoja hajaamini kuwaona Diamond na Wema yaani imefurahisha ubunifu wa hali ya juu hongereni sana.
ReplyDelete