Monday, 12 September 2011

ZANZIBAR YATAWALA KILIO

Hii ni kufuatia kuzama kwa meli ya MV.Spice Islander ambayo imeua watu wapatao zaidi ya 200.




                                      Hapa meli ikiwa imezama watu wakitapatapa kuomba msaada 


Watu wakijitahidi kuokoa majeruhi na kuopoa miili ya marehemu

                      Mh. Dk.Shein akitoa heshima zake za mwisho kwa miili ya marahemu waliokufa katika meli ya MV. Spice


Raisi Kikwete akiwafariji wafiwa na kuwapongeza kwa juhudi zao za kuokoa miili ya marahemu pamoja na majeruhi wa katika janga la kuzama kwa meli ya MV. Spice Islander




TUNAIOMBA SERIKALI KUPITIA MKONO WAKE (SUMATRA) KUFUATILIA KWA UKARIBU VYOMBO VYOTE VYA USAFIRISHAJI IWE KWANJIA YA ANGA, MAJINI, RAILWAYS NA BARABARA KWAKUTOA LESENI KWA CHOMBO SALAMA NA KUFUNGIA CHOMBO KISICHOKUWA NA HADHI YA KUBEBA ABIRIA ILI KUZUIA AJALI ZINAZO EPUKIKA.
NAWAPA POLE SANA WAFIWA WOTE NA WOTE WALIOGUSWA NA JANGA HILI KWA NAMNA YOYOTE TAMBUA TUKO PAMOJA.
MUNGU IBARIKI AFRIKA, MUNGU IBARIKI TANZANIA NA WATU WAKE.

No comments:

Post a Comment