Friday, 16 September 2011

MBEYA KUNANI TENA???????

MOTO UNATEKETEZA SOKO KUU MBEYA 

Hili ni janga limetokea na linaendelea mjini mbeya. kama sikosei hii ni mara ya pili soko hili kuungua. Jamani tumekumbwa na nini? maana mambo hayaeleweki maisha ya watanzania yako matatani hasara za mali zetu ndio hivyo. hii ni mpaka lini? je lawama ni kwa serikali au kwa wananchi kiujumla?
NAOMBA MAONI YENU KWA UJUMLA



No comments:

Post a Comment