Wednesday, 14 April 2010

Picha za Utupu na Ngono

kuna mambo mengi yanapelekea watu kujiingiza kwenye shutuma za upigaji picha za utupu na ngono.
kwakweli jamii inatakiwa kukaachini na kutazama upya juu ya suala hili kuliko kubakia kutupia lawama tu kwa muhusika.
hapa tunakuwa hatutatui tatizo hili kabisaa na inawezekana tukawatunazidi kulichochea nakuwapa mwanya wahusika waovu kuendelea kutumia mwanya huo wakutojulikana kuendeleza vitendo vyao viovu kwani hatutakuwa tumepatia muafaka wa suala zima na kuendelea kumnyooshea kidole mpigwa picha tukimsahau mpigaji.
nimekaa na kulifuatilia suala zima usiku na mchana kwani hainiingii akilini kabisa kuona mtu tena maarufu na mwenye akili yake timamu akidiriki kuweka pozi  na kupigwa picha ya utupu au ya ngono hili hali akijua kabisa picha hiyo si tafsiri nzuri kwa matumizi ya kijamii ya tanzania.
nazani nikisema hivi unanielewa maana kijana wa kitanzania anafahamu haswa kuwa maadili yake hayamruhusu kabisa kuonekana anafanya mapenzi hazarani au anaonesha utupu adharani, na kuonyesha pisha hadharani nisawa nakufanya kitendo hicho.
Hapa kwa mtazamo wangu nimegundua kwamba kuenea kwa picha za ngono na za utupu inatokana nakutokuwa makini wakati wa faragha. navyofahamu kwa upeo wangu kwamba sehemu faragha ni sehemu nyeti. basi ili itimie uhalisia wa sehemu faragha unapaswa kufunga mlango mapazia na kuhakikisha uko mweneywe kabisa uhonekani haswaa.
na endapo utamshirikisha mwenzako katika unyeti huo basi wote wawili mnatakiwa kuwa katika hali ya kuaminiana.

bila kificho nataka kusema hivi WANAWAKE TUNATAKIWA KUWA MAKINI SANA NA KUTAMBUA NIWATU GANI TUNAO WASHIRIKISHA KATIKA WAKATI WA FARAGHA.
inaonyesha zahili kuwa uenevu wa picha za ngono na utupu hauchangiwi kabisa na muhusika katika picha.
basi ninani haswa anayetuchafua katika jamii??????
leo nataka kutoa jibu la hili ikiwezekana tusaidiane tutokomeze hili tatizo kabisa.
unakuta mtu mwanamke tena anaeshimika kabisa katika jamii, anampenzi wake na kwamapenzi makubwa aliyokuwa nayo kwa mpenzi wake anakubari kupigwa picha naye wakiwa kwenye faragha akifikiria itaongeza chachu ya mapenzi nalabda itabaki kumbukumbu nzuri tu kwa mpenzi wake kutokana na jinsi upeo wao wawili utakavyo wapelekea mpaka watakapofikia maamuzi ya kupigana picha za utupu au wakiwa wanafanya ngono.bila ya kutegemea au kwa makusudi mwenzio anaenda kuwaonesha wenzake kwa kuwalingishia nao watathmini raha aliyopata walipokuwa faraghani na muhusika katika picha pasipokujua anasababishia kumwiza muhusika katika listi ya wapiga picha za utupu au ngono. mwingine kwa makusudu kabisa anapelekea kwenda kumtangaza muhusika katika picha kwa watu akidai muoneni huyu anaye jidai labda super star yuko hivi akiwa mtupu na pengine akijitapa kuwa yeye ndio anaye mmiliki kwasasa na hushaidi ni picha hiyo. basi tunaona hapa inapelekea kwa kasi kuenea kwa picha za utupu, kila kukicha utasikia fulani amepiga picha ya utupu au fulani anashiriki katika picha za ngono.

kwakeli nasisitiza wanawake tuwe makini sana naninani anaye tupiga picha na kwa matumizi gani?
na kwanini tukubali kupigwa pigwa picha za utupu au ngono?????
lakini kabisa kama jamii hatutakiwi kutupia lawama kwa wahusika wa picha za ngono na utupu tuliangalie upya suala zima na kutafuta njia mbadala wa kujinasua katika hili. nasisitiza kwa kusema wanawake tuwe makini.
asante.


31 comments:

  1. lakini picha nyingine zinaamasisha ngono.tuwe makini na picha tunazopiga

    ReplyDelete
  2. maskini weeee, haya sasa ndio wanavyotaka hivyo

    ReplyDelete
  3. @ james ndio maana nawahasa wakinadada wenzangu tuwe makini tunapokuwa faraga na watu wetu kwani inaonyesha kuwa kwa kujiachia kisanaa na kuruhusu kupigwa picha na hawa watu wetu huleta madhara baadae.
    UMENIPATA?

    ReplyDelete
  4. yani unavyovutia nikikupata kweli utaona raha ya faragha but picha nyingine zinachochea ngono.

    ReplyDelete
  5. Kuweka wazi maumbile yenu kina Dada huhamasisha ngono jambo ambalo ni baya na mungu amekataza!

    ReplyDelete
  6. @ Banja picha zina chochea ngono fine lakini nataka kukujulisha kuwa wengine hawakupiga ili aanikwe kiasi hiki kumpenda mpenzi wake na kumuamini na kukubali kupigwa naye picha ndiko kunaponza wadada wengi ndio maana unasikia kesi hizi zinajirudia kapigwa picha kajikuta gazetini au internet mtu anaamua kujiua au kuhama mji kabisaaa kesi hizo ziko nyingi kweli. je kama alipenda kwanini ajutie? umeona eheee!!!!

    ReplyDelete
  7. @ mrindoko inategemeana na hurka ya mtu lakini si dhani wengi wao kama wana penda kujianika nahisi wanakuwa wamejiachia kwa mpenzi wake nakujikuta inampeleka pabaya na kutafsiriwa vibaya ktk jamii

    ReplyDelete
  8. Mh,Judy siamini kuwa akupendaye aweza kukudhalilisha kiasi hiki mbele ya jamii.
    Kumbuka ,Mpenzi humpendelea mpenzi wake kile inachopenda nafsi yake.
    Tuheshimu mila zetu na siyo za kimagharibi zinazotushusha thamani zaidi ya wanyama!

    ReplyDelete
  9. Hello? Your comments are not in english. we need to read what you have posted also.

    ReplyDelete
  10. SIKU HIZI AJIRA POPOTE PALE

    ReplyDelete
  11. Dada please ondoa my pics! I understand umezinyonya kwa fb owned by one of da nigers...bitch ambaye aliziiba kwa fb yangu! Zitoe narudia tena kabla sijachukua hatua! Najua zimesambaa kila pahali,,,nakutahadharisha sana dada yangu!

    ReplyDelete
  12. NIMEPOKEA VITISHO VIKALI MNO KUHUSIANA NA HII MADA. KIUKWELI HAPA SIONI MAANA YA KUNILAUMU MIMI
    KAMA USEMAVYO WEWE PICHA HIZI ZIMEZAGAA PANDE ZOTE ZA DUNIA
    NA KILA MTU ANAZIONA NA MIE NI MMOJA WA HAO WATU NIKAGUSWA KUONA MSICHANA MZURI TENA MREMBO KAMA WEWE UKIJITOA KWENYE MA INTERNET UKIWA KWENYE POZI ZA KUHAMASISHA NGONO. NIKAONA TUJADILI HILI SWALA NA KWAKUWA BLOG YANGU INAHUSIANA NA LIFE GOES ON MAMBO AMBAYO YANATENDEKA KATIKA JAMII NA BILA YA JAMII KUYAELWA MAMBO HAYO BASI NIKACHUKUA UAMUZI WA KUITOA SAME PICHA AMBAYO WANAJAMII HAWAELEWI IMEKUAJE MTU MZIMA NAAKILI ZAKE AKAWEKA POZI ZA MAHABA NA PICHA KUZIANIKA HADHARANI NDIPO MAWAZO MBALI MBALI YAKAJA NA KUONA INAWEZEKANA IKAWA WATU WANAPIGA PICHA WAKIHISI NIKUMBUKUMBU ZA WAPENZI WAO KUMBE WAPENZI WANAWAGEUKA NA KUWAFANYA MTAJI NAKUENEZA PICHA ZAO.
    WENGINE SI KWAAJILI YAKUJIPATIA PESA LA HASHA WENGINE HUTOA PICHA KWA KUWADHALLISHA TU WAPENZI WAO AU KUWAKOMESHA.
    SIKUKUFAHAMU KABISA WALA SIKUDHANIA WEWE NI MTANZANIA.
    JE SWALI UTAWAFUATA WANGAPI WAFUTE PICHA HIYO WAKATI UNASEMA IMEFIKA HADI NIGERIA NA UMETOKA KATIKA JARIDA LA NIGERS BITCH!!!!!!
    NAPENDA NIKUTANE NA WEWE NIZUNGUMZIE KUHUSU HILI.
    PIA NASUBIRIA MAONI YA FUN WANGU WANAZUNGUMZIAJE KUHUSU HILI

    ReplyDelete
  13. lakini Judy kama amekuomba uzitoe picha zake kwa nini usizitoe? mheshimu ni mwanamke mwenzako kama amekosea basi atajifunza lakini sioni haja ya wewe kulumbana na mwanamke mwenzio wakati amekuomba uzitoe.kwa nini hutaki kutoa? sidhani kama unafanya busara naomba msaidie mwenzio.

    ReplyDelete
  14. picha hizo usitoe kaweka mwenyewe mtandaoni

    ReplyDelete
  15. Hao wanawake ni wakubwa wanelewa kila kitu kinachofanyika. Kama wanapigwa picha watakuwa wanjua vizuri kwamba izo zinaenda mtandaoni, la sivyo watapataje umaarufu? Maisha haya magumu na kama wanawake wanaweza kujiuza mitaani kwanini washindwe kujiuuza picha zao? Sio lawama kwa Wanaume tu, wasagaji pia wamezidi sikuhizi vile vile wasenge... kwa hiyo mambo hayo ya kawaida tu sema sisi kwetu ndio yanaanza kwahiyo inastua sana lakini watu mwishoni watazoea..
    Kama blog yako ni ya "life goes on" wachana nao and let life go on...

    ReplyDelete
  16. judy huna akili wewe utamuanikaje mwanamke mwenzio hivi hasa baada ya kufanya mawasiliano,nyie ndo mnafanya wanaume watuzarau kwakuhisi mnafanya jambo jema ,sasa wewe inakuhusuje picha zake na mpenzi wake?hata kama wamegombana?ujinga tu huo

    ReplyDelete
  17. hv huyo mdada uliye tumia picha zake hapo juu anaitwa nani?, na je ni mtanzania? plz plz plz naomba unijbu........

    ReplyDelete
  18. alihisi kapendeza, me naona umefanya jambo jema maana umemsaidia kuzitawanya. kwani alivopga na kuziweka net si alikua na maana ya kuzitawanya na si ndo judy kamsaidia, siku nyingine atajiheshimu

    ReplyDelete
  19. @ Zuberi mie huyo dada simjui kabisa life goes on ilitumiwa picha yake na ndani ya picha ili state kuwa demu wa bongo anajiuza. Lakini Life Goes on haikukurupuka na hiyo habari badala yake ikaangalia pande zote mbili na kuamua kuelimisha na kutaadharisha jamii ili wengine wasikutwe na haya. rejea post ya PICHA ZA NGONO NA UTUPU utaona kabisa JINSI life Goes On ilivyojaribu kumtetea huyu dada na kutahadharisha wanawake wawe makini wanapokuwa faraga na wanaume wenzao wasije kupigwa picha na kuleta tafsiri tofauti katika jamii.

    ReplyDelete
  20. bila ya kutegemea Life Goes On ilipokea email kali ya onyo na mikwara mingi sana kutoka kwa dada aliyepiga hiyo picha na kuomba hiyo picha itolewe ikisahau kuwa Life Goes On ni chombo cha habari kama vyombo vingine na ina haki ya kurusha habari kama vyombo vingine na picha imetufikia ikitueleza kuna wanawake wanajiuza kwenye mitandao kinyume na maadili ya binadamu kama chombo cha kuelimisha jamii Life Goes On inakila sababu ya kukemea na kuelimisha vitendo hivyo. naomba tusilaumiwe kwa hilo walaumiwe walio piga picha na walio sambaza

    ReplyDelete
  21. unayesema Judy hana akili yawezekana na wewe ni miongoni mwa wapiga pich aza utupu. kama ni hivyo mnajidhalilisha wewnyewe

    ReplyDelete
  22. daima unapofanya dhambi unaifurahia sana unapoona matokeo yake unaanza kuwakasirikia watu, mi nafikiri wewe dada mwenye picha hizo w kwanza kumlaumu ni nafsi yako iliyokuingiza kufanya kinyume na maadili ya biblia wala Quran. kwa kweli akinadada mnajidhalilisha sana shetani anawatumia atakavyo nanyi mnaubali mi nakushauri umrudie mungu kwa kujutia uliyoyafanya sio kumlaumu judy, anaweza kutoa kwenye blg yake je itakuwaje na zilizoko Nje ya nchi au kwenye mitandao mingine??? mnachafua sifa ya nchi acheni mambo ya kuiga kwa wazungu.

    mungu akusaidie dada kumbuka dunia inafikia mwisho wake hivi punde.

    ReplyDelete
  23. Lol ! thanks kwa comments labda atakuwa ameelewa na kujifunza sasa. Asibakie kutuma lawama kwa watu wasiousika na kupigwa kwake picha

    ReplyDelete
  24. huko faragha pigeni za kutosha sie macho yetu yanafaidi kutazama vya ndani....huyo anaekutishia ati picha ni zAKE MUULIZE ULIMSAIDIA KUZIWEKA FB?

    ReplyDelete
  25. Ninazo picha zake mpaka za utupu anaezitaka aseme

    ReplyDelete
  26. @Rwamujuga Batwale nazitaka picha jamani tutumie

    ReplyDelete
  27. Naomba mwenye picha hizi nanitafuete naomba sana awe mpenzi wangu-0752238295=ukweli utabakia kutombana sasa siyo siri nimependa umbo la mtoto

    ReplyDelete
  28. NAOMBA UNITAFITE KIMAPENZI KUTOMBANA SASA SIYO SIRI NIMEPENDA MTOTO - 0752238295 MR ABEL

    ReplyDelete
  29. DADA HUYU NI PEPO MCHAFU

    ReplyDelete